Social Icons

Pages

Monday, August 16, 2010

KUTOKA MAANDISHI MATATU MPAKA IRINGA....


Ahsante saaana dadaangu kipenzi Ndenengo malisa kwa huu mzigo, na kwakunishtua mapemaaa kabla haujaisha. Kiukweli unafanya kweli sana kwa kutuletea vitu vya uhakika kama hivi huku kwetu Iringa....Mpendwa mtembeleaji wa kiduchu,kama utahitaji mambo haya ama zaidi ya haya kutana na no ya sisy Ndey mwisho wa hizi picha den ufanye kama unamtafuta hiviiiii...Enjoy na kamera ya kiduchu.

Pale kati sasaaaa....hahh hahh

Eee bwana,ndo hivyo...

Lol lol lol lol!!!

Kaazi kwelikweli jamani lol!

Per more Jah sana wanawane..

Sasajeee??!!

Niko na shosti wangu Mdoli

Sina neno mie...hah hah

Hapo chachaaaaa

Utanitakaaa?? hah hah hahhah

Sisy NDENENGO MALISA (Ndey)
Leo asubuhi asubuhi bi dada huyu kanipigia simu na kunambia niende dukani kwake bila kukosa, sikutaka kulemba maana nilijua tu lazima kutakuwa na mambo mazuri huko..fasta nikajiandaa na kwenda. Mamaweeee si ndo nikakuta mzigo wa hatari umeshashuka toka maandishi matatu(U.S.A) tangu jana? Bila kuchelewa nikachagua mitupio hii kabla sijachelewa maana huwa haichelewi kugombaniwa na kuisha fasta. Sasa wakati najaribisha ili nione natokaje ndo bibie akaanza kunifotoa kama hivi ili nawe uone mitupiozzzzzzz....kama wahitaji mzigo waweza piga 0753 604382 utakufikia popote ili twende sawasawa.

2 comments:

  1. Shosti siku hizi kumbe ni mjasilia mali??hongera sana mamaaa.........

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text