Social Icons

Pages

Friday, August 20, 2010

HII SASA IMEZIDI JAMANI KHAAA!!!


Mkono wa mtoto Clement unavyoonekana baada ya kuunguzwa na mama yake mzazi kwa kisa cha kuiba mkate..

Bi Salima Yusuphu na wajukuu zake,akimwambia jambo sisy Tumaini Msowoya wa gazeti la mwananchi...

(Mtoto Clement)..kiukweli baada yakumwona huyu mtoto nilishindwa kuvumilia kutokwa na machozi,katoto kanatia huruma jamani daaah!!

Mwandishi wa makara kupitia gazeti la Mwananchi da TUMAINI MSOWOYA akiwa kambeba mtoto CLEMENT na BIBI CLEMENT (SALIMA YUSUPHU)....
Kiukweli mi sina lakusema kuhusiana na hili mwanakiduchu, kwa maana mpaka sasa najiuliza inakuwaje mzazi unaamua kumfanyia mtoto tena wakumzaa mwenyewe ukatiri wa dizani hii na kumpa mtoto kilema cha makusudi bila hata ya huruma, bila kupata majibu.
Mmmh! Naamini sheria itafuata mkondo wake na kuwa fundisho kwa wengine wenye roho za kiajabu kama huyu mama.....(Picha kwa hisani ya Matukio Daima)

3 comments:

  1. Hawa TAMWA wako wapi.... kuna haja ya huyo mama kupimwa akili, maana haiwezekani, ukatili huu kufanywa na mtu mwenye akili timamu kwa mwa naye aliyemzaa mwenyewe! khaaaaa!!!!!

    ReplyDelete
  2. Me kwa upandea wangu na hisi hili sijambo la kiungwana ifikie kipindi kama mama wa familia au wa mtoto wa kumzaa yeye awe na ukarimu , kutoa ushauri, onyo na uungwana kwa mwanae ilikuwa si hatua ya kufanya jambo hili.

    ReplyDelete
  3. cursed is the woman (or man)who burned this little man.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text