Social Icons

Pages

Saturday, June 12, 2010

LEO TULIALIKWA KWENDA KUPATA KIFUNGUA KINYWA KWA MNENE WETU.....


"kama nasinzia hivi jamani? na dawa yake ni kitu chamotoooo" j-ree

"Vipi boss, baridiee?"

Kabla ya yoote tukaanza na kajizoezi haka ka kufungua kinywa,siunajua iringa kwa sasa ni barid sana? kwahiyo kupasha tumbo kabla ya yote ndo kitu muhimu zaidi.

Jamani jamani daah! Hivyo vyote wala weye boss ama? ha ha ha ha...

Mhhh..mwenye macho haambiwi tizama jamani lol!

"Jamani vinaisha hivyoo,nyie endeleeni kusoga tu"..jemma na allen

Zoezi linaendelea

Baada ya zoezi la kufungua kinywa kuisha

Kija,Marck na Arnie Gizzle..twala nao mzigo pamoja ebony fm ila wao wapo ofis ya dar

Arnie Gizzle

Leah & allen

Nikubadilishana mitazamo tu na si kingine..

Hapa mzee wa muziki na maisha,hapa mzee wa mishemishe...kuna swali tena zaidi ya kuwatembelea???

Ne-mo na Emma...hawa vijana wanaokula mzigo ndani ya HOT FM mdogo wake na EBONY FM.

Mama kijacho,hatya na leah

"wacha tukajiandae kwaajiri ya usiku mwanawane" Bonnie

NACHUKUA NAFASI HII KWA NIABA YA WAFANYAKAZI WENZANGU KUKUSHUKURU MHESHIMIWA KWA HIKI ULICHOTUANDALIA, MAANA YAPO MENGI ULIYO TUFANYIA AMBAYO NINGEYAWEKA HAPA LAKINI NASIKITIKA SIWEZI FANYA HIVYO KUTOKANA NA SABABU ZANGU ZA MSINGI KABISA. PIA TWASHUKURU KWA PARTY ULIYOTUANDALIA HAPO BAADAE PALE HILTOP HOTEL, HII INAONYESHA NI JINSI GANI UNATHAMINI MCHANGO WETU KAMA WAFANYAKAZI KATIKA RADIO YAKO KWA HIKI KIPINDI CHA MIAKA MI4...SINA MENGI ZAIDI YAKUMWOMBA MUNGU AKUZIDISHIE PALE PALIPO PUNGUA. AAAMINA....

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text