Social Icons

Pages

Sunday, June 13, 2010

MIAKA MI 4 YA EBONY FM,KWA UDUUCHU TU ILIVYOKUWA JANA....


"Leah mama,vipi wahisi baridi? pole mwayego ndo iringa hiyo vumilia tu"..mtu mzima allen sean na leah.

"Vipi kaka nikusaidie nini?"...kaka mkuu huyo Raymond

Hii ilikuwa piga nikupige...

Kija na washkaji

Teh teh teh teh...hapo hajala,sasa akila sijajua tumbo litakuwaje lol!

Dj kwasa alihusika vilivyo...

Juddy & bonnie

Saggy na Mwalubadu ndo walikuwa wasema chochote...

Cosmas na Hassan rehani

"vipi leah unaomba nini mama?"

"Jamani muda wa kuheshimiana haufiki tuuu? mbona tumbo kama linalia hivi? hamjui kama tangu ninywe ile chai kwa mnene asubuhi sijatupia chochote kwa tumbo?"

Najua hiki ndo kipindi tukipendachooo..au nani anabishaa??

Mamaangu mdogo Emmy na rafiki yangu Cizar(mmefanana jamani,au kidogo wazee wali.....mmh) ha haaha ha

Hawa ndo wanakamati walio fanikisha shughuri hii wandugu.

Mwanakamati Ibrahim Issa akamalizia mawili matatu na kuruhusu kwa anae jisikia kuserebuka naafanye hivyo..

Hapo chachaaa...kazi inaanzia hapa sasa.

Mamaaaa weee,mi simo kwakweli..

Sikumbuki tuliondoka saa ngapi jamani wapendwa...

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text