Social Icons

Pages

Tuesday, May 25, 2010

TUNAJINOA KWA KUMCHINJA MTU TAREHE 29...


Vijana wakiingia uwanjani jana kujifua na mazoezi ya nguvu, kujiandaa kuwakabili wadau wetu wa CHIMALA (MBEYA)kwenye mtanange utakaofanyika tarehe 29 mwezi huu huko chimala.

Heeeh! kuna mazoezi hapa kweli leo? Hebu tuone mwisho wake utakuwa ninini wapendwa...

j-ree una hamu na mpiiiira,zunguka uwanja mara4 kwanza bwana..

Mmmh,sasa eddo na jema hayo ndo mazoezi gani wajameni?

Dj mubba na Eddo...

"Nisikilizeni mimi" (glory)

Kuna somo lilikuwa linaendelea hapa toka kwa glory kuhusiana na mambo ya kufa kufa.Eddo jamani alitia huruma hapa lol...ha ha ha, sijui somo lilimuingia sana?

Kupeana mawili matatu pia si dhambi kabla ya tizi kuanza...

Mwalubadu jamani hata sielewi alitokea wapi na hii dongea ya ndala lol! ha ha ha..

Mmmh! hakuna mchezaji hapa...

Austine akijiweka tayari tayari..

"Mi najaribu tu jamani leo, kwasa na glory mbona mwataka nitoa roho?"

Haaah! sasa haya mazoezi gani jamaniii? (judy na jema)

Aaah golikipa wa timu B yenye jezi ya njano huyo utamtakaaa? (sisy glory)

Kazi inaendelea..

Ha ha ha...jema ndo alikuwa kituko zaidi,wakati kabumbu limekolea ye akakaa eti anajirekebisha kwanza..ha ha ha lol!

Mi sijapona kidole cha mguuni vyema nlichoteguka juzi, kwahiyo nilikuwa nawapa nguvu timu yangu A kwa kuwashangilia..

Hata sikumbuki ilikuwaje,maana vituko huwa ni vingi uwanjani.

Kuumia ni jambo la kawaida mazoezini, ndo ilivyokuwa kwa dj mubba (pole kaka)

Jamani giza lishaingia tuondokeni...

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text