Social Icons

Pages

Saturday, April 3, 2010

HAWA WANAKUTAKIA PASAKA NJEMA MDAU....


karafiki kangu jamani jina limenitoka....nako kanakutakia pasaka tulivu.

mie na mzee wa mishemishe j-ree...

kaka mkuu raymond na emma

JML na mwalubadu

my mdogo neema na katoto lance

eddo boy na bahati alex

allen na sisy jema

gari ya maneno HATYA OMARY

mama liner nakati ya NEMS COLLECTION, duka linalouza pamba za watu wa lika zote mtaa wa uhindini iringa tz..

b-slay,glory na j-ree

mchizi wangu GEEZY MABOVU nae kanambia nikufikishie salamu hizi....jamani tusherehekee kwa amani kufufuka kwa bwana wetu yesu kristo. amani ya bwana na iwe nawe!!

5 comments:

 1. thanx mamaa, nawe pia sisy!!

  ReplyDelete
 2. Zimetufikia hizo salamu....ila Blackberry yako ya kitochi imenivutiaaaaaa..


  hahaaha ahaha ahaha....
  Pasaka Njema kwa Wooote

  ReplyDelete
 3. Na wewe pia! Have a great day!

  LOL Othman mchokozi kumbe wewe?

  ReplyDelete
 4. ha ha ha...candy mama,utamuweza othman?nshamzowea na madongo yake mwenzio..hahaa hahaa.Mmh!haya bwana.. lol!

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text