Social Icons

Pages

Friday, March 12, 2010

POLE MADEE KWAKUONDOKEWA NA KIPENZI CHAKO....


mwanamziki wa kizazi kipya toka katika chama kubwa la tiptop madee,amefikwa na msiba mkubwa kwa kuondokewa na mchumba wake kipenzi pendo ambaye alifikwa na umauti kwaajali ya bus jana wakati akitoka dar kuelekea dodoma alikokuwa anasoma katika chuo kikuu cha st.john.mwili wa marehemu bado unahifadhiwa katika hospital ya tumbi...tutaendelea kupeana taarifa zaidi kadri mambo yanavyokwenda. polesana kaka yote ni mipango ya mungu na nakuombea akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu ulichonacho,tuko pamoja pia.

pendo enzi za uhai wake akiwa na mchumba wake madee...mungu ailanze mahali pema peponi milele roho ya marehemu pendo...amina!

2 comments:

  1. nashukuru kwa kuwa na me ktk kipindi chote kigumu,ukiwa km mwanahabari ubalikiwe sana. by MADEE

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text