Social Icons

Pages

Wednesday, March 10, 2010

MH! NAAMINI HAKUNA BAYA LITAKALO TOKEA...


jose chamilion
Urafiki mpya uliojengeka hivi karibuni kati ya nyota Jose Chameleone na H.E Bobi Wine huenda ukavunjika, baada ya mdogo wake Chameleone na Bobi kushutumiana wakigombania msichana mmoja ambaye hajafahamika hadi sasa .
Hayo yote yalianzia siku ya jumapili iliyopita usiku wakati ambapo Chameleone alikuwa akizindua album yake ya Basiima Ogenze katika ufukwe wa resort huko Entebbe.
Inaelezwa kuwa siku hiyo Bobi alimuona msichana mmoja siku hiyo lakini hakupata fursa ya kuzungumza naye mrembo huyo.
Siku iliyofuata akiwa katika klabu moja ijulikanayo kama Silk Bobi alimuona mrembo huyo na kuanza kuchati naye.lakini mbinu zake kumnyakua binti huyo zikashindikana kumbe kifaa kilihusika na familia ya Chameleone

prezidaa wa gheto mtu mzima bobi wine..

3 comments:

 1. Kaa watashindwa KUUNGANA kwa kuwa ndugu ama watu hao wanagombea "pa-mkojo" wataukera ulimwengu.
  Lakini asiyewajua wasanii (baadhi) ni nani? Wanapenda saana kushindana kupapata walipotokea.
  Heri ugomvi kuliko maradhi.
  Kazi kwao
  Blessings

  ReplyDelete
 2. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 3. ha ha ha...maneno hayo kaka mi simo lol!

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text