nimemwuliza maana ya hiyo alama aliyoionyesha maana yake, akasema nikuulize wewe kwanza halafu ndo atanijibu... haya wajameni kama waijua karibu kibarazani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hapa utapata mitindo kiduchu,muziki kiduchu,urembo kiduchu nk...lakini kiduchu ya hapa itakutosha.
Dar es Salaam |
edoo hana lolote, ye mwenyewe hajui maana yake, kiduchu kama huamini muulize, halafu mwambie atupe email yake,, LMAO miss him big tym
ReplyDeleteHiyo ni alama ya AMANI.
ReplyDeleteMara nyingi hutumiwa na ma-Rasta na huelekezwa chini. Hata Culture kwenye cover ya albamu yake ya WOLRD PEACE alitumia picha yenye alama hiyo
Jikumbushe taswira na muziki wake hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/04/them-i-them-cultureworld-peace.html
Blessings