Tuesday, February 23, 2010
CONDOM KUONGEZWA KWENYE KOMBE LA DUNIA
kapendeza eeeh?
Maafisa wa kamati inayoandaa michuano ya kombe la dunia nchini Afrika Kusini, wamesema mipira ya Condom itasambazwa kwa wingi wakati wa dimba hilo. Maafisa hao wanasema hatua hiyo inanuiwa kuzuia maambukizi ya ukimwi wakati huo wa michuano. Daktari anayesimamia maswala ya afya katika kamati hiyo (Victor Ramathesele) amesema wingi wa watu watakaozuru afrika kusini, na hali ya sherehe itakayokuwako imewalazimu kuweka mikakati ya kipekee ya kuwakinga watu.
Afrika kusini ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa zaidi ya watu wenye virusi vya ukimwi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
duh! NIMEIPENDA HIYO, VIPI naweza kutengenezewa vazi la kiafrika kwa kutumia hizo baloons a.k.a condm? itakuwa pouwa balaa
ReplyDeleteitakuwa kunoga sana
ReplyDelete