Social Icons

Pages

Thursday, March 4, 2010

WAPENDWA NILIGONJWEKA JAMANI....


poleni sana wapendwa wangu kwakunikosa kibarazani kwangu ili kupeana viduchuuuuzi,ni vile nilipatwa na homa kali. lakini kwa uwezo wake mola niko gado tena fiti ile mbaaya kwa sasa,,kwahiyo karibuni tena tuliendeleze libeneke kwa pamoja....

4 comments:

 1. pole na karibu tena ugani mwana anga mwenzangu, nafurahi kila nikuonapo angani. kamata bomba twende mwanangu.

  ReplyDelete
 2. poleeeeee Kiduchu,poleeeeeee.
  Poleeeeee Kiduchu,poleeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 3. Mie wakati mwingine huwa nachunguza hata visivyofaa. Na machunguzi yangu huendana na "vu-swali mbuzi".
  Mfano sasa ntauliza ilikuwaje "mguu na kiastu" vikabaki bila vumbi wakati yaonesha ulikuwa ukitembea? Ama ulishushwa tuu uka-freeze na kupigwa picha kisha ukatokomea "mchumani"? Hahahahahaaaaaaaa
  Tell you what My Sis.... You're looking GREAT. I mean huwezi jua kuwa "mnafiki" Malaria alikuwa akijitahidi kukunyong'onyesha.
  Am glad umerejea na namshukuru Almighty kwa uwepo wako
  Blessings

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text