Social Icons

Pages

Tuesday, January 26, 2010

WANAOPENDA KUIGA MITINDO YA NYWELE YA MA SUPER STAR...MAMBO HAYOOO!!


unaweza kumpenda mwanamuziki ama mtu yoyote maarufu kiasi cha kuwa unapenda kuiga tabia,mavazi n.k kutoka kwake bila kujali kuwa jamii inayo kuzunguka itakuelewaje ama kukuchukuliaje...wapo wengi tunakutana nao sehemu mbalimbali tunaona wakiwa hivyo. sasa kazi hiyo hapo juu ila inakubidi uwe makini mana mwenzako alitengeneza hapo kwaajiri ya kitu maalum,kwa hiyo angalia bwana mtaani wasije wakavunja miguu watu kwa kukukimbia wakidhani labda umepata uchizi....ha ha ha...mi mgeni wajameni.

2 comments:

  1. Eeeeh!! Da Mija hapo umegunduaje ni kweli ni Lopez. Sijui kavaa wigi wa ngamia au paka..lol

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text