
mmoja kati ya watangazaji ambao wanakuza vipaji vya wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Iringa ni ISIAKA ZAYUMBA a.k.a ISIAKA MC, hapa akiwa katika moja ya
vipindi ambavyo anafanya katika studio za 88.5 COUNTRY FM iringa.
hapa utapata mitindo kiduchu,muziki kiduchu,urembo kiduchu nk...lakini kiduchu ya hapa itakutosha.
Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment