Social Icons

Pages

Monday, January 18, 2010

KANITUMIA MCHIZI WANGU ISIAKA ZEYUMBA WA TIMAMU REC


Oya niaje mama, upo poa?.Hii picha wakati tukiwa studio na uyu ni
producer mwingine anaitwa gussy ambaye anatokea nchini spain alikuja
kwaajili ya kuitembelea timamu records na kunisaidia baadhi ya vitu
flani kwaajili ya studio yangu ya TIMAMU na kwenye mziki pia. Nategemea kuachia kazi kama tatu zawasanii kama Abby skilz, nadhilu na onory.kazi hizo naamini zitakuja kufanya
vizuri kwenye tasnia ya mziki..Baadae ntakuja kuachia ngoma ya mwanangu
wadhati joslin kwahio kupitia kiduchu nataka mashabiki wangu wakae tayari kapata vitu vitamu kutoka
kwangu isiaka zayumba a.k.a isiaka mc ndani ya TIMAMU REC....

1 comment:

  1. Yes Gussy!! Yeees Rasta!!!!!
    Ila swali langu kwa Kaka Isiaka ni kuwa UNATUMIAJE ZANA ZA ASILI NA WASANII WA ASILI KUTENGENEZA MIZIKI?
    Kuna tatizo (na narudia kwa herufi kubwa TATIZO) la wazalishaji wa muziki (producers) kutaka kutengeneza muziki wa Tanzania kwa kutegemea kinanda which is the shame. Kuna wasanii wengi wafanyao muziki halisi kwa kutumia zana halisi kama marimba. filimbi, ngoma na hata magitaa halisi na kuufanya muziki uwe HALISI. Tunastahili kuenzi muziki kama muziki na kutumia zana halisi kuutayarisha badala ya pre-loaded bits kwenye keyboards.
    Kilala kheri ktk kuENDELEZA MUZIKI HALISI WA TANZANIA

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text