Social Icons

Pages

Tuesday, December 1, 2009

MADEE NA TUNDA WAENDA KUMSABAHI ZUMA


MADEE

TUNDA MAN
wanamuziki wanaofanya vyema katika mziki huu wa kizazi kipya hapa tz na afrika kwa ujumla, nawazungumzia MADEE na TUNDA MAN....wanatarajia kukwea pipa tarehe 8 mwezi huu kwenda kusini mwa afika kwa mzee ZUMA kwaajiri ya kupiga show tarehe 11 katika jiji la CAPE TOWN. jamani mi nawatakia safari njema na makamuzi ya kutosha ili heshima ya muziki wa tz uzidi kupenya zaidi na kufikia huko mnakotamani kuufikisha.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text