
"sokoni nifuate nini na bustani ninayo nyumbani kwangu? niacheni kwani kunaajabu gani mi kuipalilia bustani yangu?"

"jamani kukumbuka hata enzi za utoto si dhambi pia ni moja kati ya mazoezi yanayo nifanya nizidi kuwa fit kama mnionavyo"

"na nikiwa kwenye kuwajibika kama first lady,mambo huwa kama uonavyo, upo?".
No comments:
Post a Comment