
natamani kwelikweli siku moja nami niitwe mama,napenda sana watoto...teh teh, nipo na mchizi wangu dj kwasa hapa ananambia kinacho nichelewesha nini? kwasa tafadhali niacheuko niko moto kwanza...ha ha ha!
hapa utapata mitindo kiduchu,muziki kiduchu,urembo kiduchu nk...lakini kiduchu ya hapa itakutosha.
Dar es Salaam |
time doesn't wait. ha! ha! ha! lakini taratibu ndio mwendo na utafika tu muombe mungu akunyooshee njia.
ReplyDeletemmmh! haya kaka wacha nione itavyokuwa, ntakujulisha pia...ha ha ha!
ReplyDeletenasubiri habari njema
ReplyDelete