Social Icons

Pages

Monday, October 26, 2009

HONI ZIMESHA SIKIKA NA WAMESHAMPISHA NJIA....SASA NI BIDIImalima lawrence,ukimuita Marlaw utakuwa umefanya vyema sana na kurahisisha kazi mana utakuwa umemuita majina yake yote mawili kwa wakati mmoja. jamaa baada ya kuturusha na goma linaloitwa pii pii(missing ma baby)sasa karudi na ting'a linalokwenda kwa jina la BIDII,kuna mengi kazungumza humo bwana mdogo huyu kuhusian na maisha. kazi imepakuliwa toka ndani ya MJ REC chini ya utayarishaji wa super produser MACO....hebu inyatie kwa ukaribu ili uisaminishe mwenyewe.

1 comment:

  1. nimepata fursa kuskia pini hii, yes kijana anaweza, kwangu nampenda mtu anayeandika vuzuri kabla ya kuwakilisha na hilo kafaulu. BRAVO

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text