wanadafada wengi wanasema kwamba ukiwa na mpenzi ama mume mwenye mwili wamazoezi kama huu unakuwa na furaha na kujiamini popote utakapo kuwanae,na utapenda kumtambulisha kwa kila unaehisi anastaili kumtambua...kazi kwenu ambao hampigi tizi. Mmh! jamani mi sijasema....
Saturday, October 24, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment