Social Icons

Pages

Saturday, October 24, 2009

AJALI HAINA KINGA JAMANI.

kwakuangalia unawezasema roho ya mtu haikutoka salama humo,lakini mungu sio juma bwana...alitoka salaama salimini ila ninini kifanyike ili ajali zisizo za lazima zikome?

1 comment:

  1. umeuliza nini kifanyike. kimojawapo ni kukataa bia za ofa.(sina maana wala uhakika aliyeroborika(nusurika)alikuwa bwii)

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text