Social Icons

Pages

Thursday, May 17, 2012

JAMANI HODIIIII!!

Kitambo sana wapendwa wangu niliwasusa, halikuwa kusudio langu ni wingi wa mambo ndo ulinifa ufinyu wa kuwatupia tupia chochote kunako KIDUCHU... Sasa walau mambo yako sawa na nafasi inapatikana si mbaya kama mkaendelea kupata mambo kwa uduchu kupitia hiki kibaraza chetu chakupeana viduchuuuuz, tuliobahatika kuuona mwaka 2012 yatupasa kumshukuru mwenyezi mungu maana ni kwa mapenzi yake mpaka leo hii sisi kuendelea kuvuta pumzi yake pasi na malipo na si kwamba tu wema saaana la hasha, na kwa wenzetu walio tangulia mbele ya haki tuzidi kuziombea roho zao zilazwe palipo pema peponi Aamina, na wagonjwa wote mungu awape uponyaji ili tujumuike kwa pamoja katika kuendeleza ujenzi wa taifa letu. Baada ya kusema hayo yote nawakaribisha tena.

3 comments:

 

Sample text

Sample Text