"jamani napenda supu ya kongoloooooo" Ugumu wa kuiandaa unaujua lakini?
"nikishamaliza, ntainjika jisufuria likiwa na maji ya kutosha,halafu nitatumbukiza haya makongolo tayari kwakutengeneza kitu cha supu ya kongolo...nina wateja wengi sana wanaokuja kununua supu hii" Maneno ya Jamaa hapa.
No comments:
Post a Comment