Social Icons

Pages

Saturday, July 31, 2010

JAMAA WAMETINGWA HASWAAAAA......


"Mwanangu kaenda shule" mzazi unaamini hivyo, kumbe dogo kala kona kwa watoto wa mitaani kucheza kamali wenyewe wanaita kwa kutumia kile kidogo ulichompatia asubuhi wakati anatoka nyumbani ili kimsaidie kununua japo andazi kwenye muda wa mapumziko. Jijengee tabia ya kukaa na mwanao kila anapotoka shuleni na mfanye rafikiyo wa karibu utayajua mengi yatakayokupa mwongozo wa kumpa njia bora na misingi imara ya kujiepusha na hivi vijikundi vinavyo wapotezea dira ya maisha mema watoto....

"ukizubaaaa tu umeliwa" ndo walichokuwa wakisema hawa jamaa...

Busy Busy Busy....hakuna etakae kuelewa hapo.
Hata sijajua hatua gani ichukuliwe ili kukomesha ongezeko la watoto wa mitaani, maana huku iringa huwezi kukatisha mtaa bila kukutana na kundi la watoto wa mitaani.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text