Social Icons

Pages

Monday, July 12, 2010

"BACK TO ME" YA FANTASIA,AUGUST 24...


Fantasia anajisikia faraja hivi sasa mara baada ya kubakiza week chache kabla hajaachia albam yake ya tatu ya "Back To Me".
anasema anahisi kama albam yake hiyo inakama mijeredi 100 kutokana na jinsi ilivyo kali na ametumia miaka mitatu kuitengeneza
Na albam yake ya sasa itakuwa tofauti na kazi zake zingine kwa kuwa amesimamiwa na watu tofauti na anaamini itamtambulisha yeye kama yeye wala huwezi kumfanananisha na mtu mwingine yeyote… na amewachana live wasanii wengine kuacha kucopy style za wenzao, mzigo huo unatarajiwa kuingia sokoni, August 24.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text