Respect Entertainment inakuletea EXTRA BONGO NextLevel ndani ya Iringa kunako kiwanja kile kile cha maraha Club V.I.P,itakuwa ni ijumaa hii kuanzia mida ya saa 2:oo usiku kwa kiingilio cha shilingi 10,000...pia watasindikizwa na wasanii wa kizazi kipya kama: Profassa jay, Matonya,Hussen Machozi na Wa2ku2.
Kama vipi jisogeze pande hizo mwanakwetu...

Hussen Machozi

Jay wamitulinga kama kawa...
No comments:
Post a Comment