Social Icons

Pages

Sunday, April 18, 2010

WERE WEREEEE! WAREREEEEE!!


Pipipipipiiiii ooooh kidedeaaa...
Wachezaji wa timu ya Simba wakiwa na kombe lao la ubingwa walilokabidhiwa jana mara baada ya kumalizika kwa mechi kati yao na watani zao Yanga katika mtanange wa kukata na shoka uliomalizika katika uwanja wa taifa wa neshno stadium.
Simba ndio mabingwa wapya wa ligi kuu ya Vodacom 2010/11

Mashabiki wa yanga na nyuso za usawajiko
maskini weeee! simba wabaya jamaniiii!? Hata hawakuwafikilia wenzao watabaki na nyuso gani baada ya kichapo? haa haa ha

Ndugu zangu wakifurahia ushindi pamoja na ubingwa pia,katika mtanange uliochezwa jana katika wanja letu la taifa la neshno stadium.

wachezaji wa yanga jamaniii...haaa haa haaaa,eti wakaanza kumzonga refa wakidai amefanya maamuzi yasiyo sahihi lol!!
(picha zote ni kwa hisani ya Mroky Mroky,Jane John na othman michuzi)

2 comments:

  1. Dada kumbe na wewe ni kati ya wale..."eti wakaanza kumzonga refa wakidai amefanya maamuzi yasiyo sahihi".........................
    Wewe ulikuwa unasikiliza redio TBC siyo,redio yako huwa inatumia battery enh,siku hiyo zilikuwa down nini? pole sana,ni mengi yaliyojiri siku hiyo Dada'ngu basi tu wanasema ukubwa kukubali.
    Na sisi tumekubali.

    ReplyDelete
  2. ha haa haah..pole saaaana kaka,ila ndo mchezo usiogope...ha haah haa lol!!!

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text