Social Icons

Pages

Friday, April 9, 2010

JAMANIEEEH, WIK END YAKO KUIMALIZIA NYUMBANI KWAKO SI USHAMBA...


wapendwa katika bwana,wik end ina mambo mengi saana ambayo hutokea...mazuri na mabaya,yenye faida na hasara. chamsingi ni kuwa makini ili tusiwe kwenye kundi la hasara ama mabaya mwisho wa siku. kiduchu nakutakia wik end tulivu na kumbuka kuwa kuimalizia wik end yako nyumbani na familia yako sio ushamba my....per more jah!!!

1 comment:

  1. Ni safi kwa kweli ila binafsi wik end yote nimekuwa kazini!

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text