Friday, November 20, 2009
MTIKISIKO URODA HIYOOO KWENYE KONA.
lile tamasha linalo kwenda ka jina la MTIKISIKO lifanyikalo kila mwaka huku iringa,linatarajiwa kufanyika tarehe 6 mwezi wa 12 mwaka huu ndani ya uwanja wa samora likiambatana na burudani mbalimbali,nyomi kama hiyo uionayo ni yakawaida saaana kwa miaka miwili iliyopita,naamini mwaka huu itakuwa mzuka zaidi kutokana na mengi mazuri yaliyo andaliwa kufanyika kiwanjani hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment