Social Icons

Pages

Tuesday, November 24, 2009

SI DHAMBI KUBADILISHANA MAWAZO....


kiduchu,glory na hatya waweza muita gari ya maneno. hiyo ni baada ya kutoka kupata mlo wa mchana ndo tukaweka kilinge hapo ili walau ugali na dagaa vishuke tukaendelee na kazi,mara bi mkubwa hatya akaanza kutupa kijimambo alicho kutana nacho jana mtaani kwao cha mtu kuamua kuhama nyumba yake kisa wageni wamezidi kwenda kwake....mmh mambo hayo!!

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text