Social Icons

Pages

Saturday, October 24, 2009

NI MWENDO WA KIJANI TU KWA KWENDA MBELE..


unaweza sema kaka wakubwa wamekamia na hicho kijani,kumbe ni kawa tu kama wanavyosema wao kwamba wanakimbiza kuanzia muonekano mpaka mitamboni.......BABA WAWIIIILI mwenye dred na DJ MUBBA,jamaa unakutananao kupitia kipindi cha THE SPLASH kuanzia 2:00 mchana mpaka 4:00 jioni ndani ya EBONY FM (Iringa)

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text