katika pekua pekua zangu nikakutana na hii picha,imenikumbusha mbali kidogo. kitu cha mwanzoni mwa mwaka jana baadhi ya wafanyakazi wa ebony tulipoenda kuitembelea Malawi,kutoka kushoto ni mamaa wa JAMBO BEAT BAABU KUBWA Bahati alex, Shaban kondo,George ndabagoye,Ibrahimu issa na Kiduchu mwenyewe (agness Samson). Natamani kama ije kujirudia tena.
Monday, October 26, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
itarudia mama usijali, its new team remember! lets make it hapen.
ReplyDeleteyap yap kaka mkubwa naamini itakuja tena na itakuwa bomba zaidi...
ReplyDeleteDah!!! Hii picha imenikumbusha mbali na niliipenda sana na nakumbuka nilivyoeleza hilo hapa (http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/10/pass-it-on.html)
ReplyDeleteKARIBU CHANHAMOTONI