mwite agape mwana wa msumari (mzee wa viva afrika),ni mtu wangu wa karibu sana hasa kikazi mana ni mtu anae nikosoa na kunishauri pale ninapokwenda tofauti bila kusahau kunipongeza pale ninapokandamiza. kwa mengi zaidi kutana nae kupitia www.vivaafrika.blogspot.com
Friday, October 23, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment