Social Icons

Pages

Monday, November 8, 2010

BATA ALIVYOLIWA MBEYA....


Kitu cha steg kikawa tayari kwa shughuri...tupia chini kama vipi.

Dj Mubbaaaaaaaaaaaa nipe.......e...hah hah hha,mbeya mtamalizia bana simnakumbuka JB wa mabaga freshi ambaye kwa sasa yupo na wanaume halisi alivyokuwa anamuomba dj muba ampeeeee......e? hah hah

"Vijana fungeni mikanda,fungeni mikanda" hawa jamaa bwana niwanoma aisee (Chegge & Temba) walichapisha mbaaaaaaaaaya...

Roma aliamsha sio padogo aiseee....

"Aliposemaaa mimi wakazi ganiiii,wewe uliwazaaa utanipataliiini, baby tambua hakujua thamani yanguuu,wewe unaefahamuu naomba unipendeee,atatamani niwe wakeee...."malizia mwenyewe banaaa..Linah alifanya uchokozi wa kutosha tu kwa mashabiki wake wa mbeya.

3 bira,3 bira,3 bira...hahh hah hah jamaa wakati anavunja hapo kati, mashabiki wakawa wanampa moto kwa kusema 3 bira...

Wanaume halisi si ndo hawa sasaaaaa?

Twanga pepeta kama kawa walitoa doz ya nguvu kwa wakazi wa mbeya..

Bizzzzz bandugu bakimla bata taratiiiiibu bila papara...

Hawa ndo wasababishaji wakubwa wa Mtikisiko 2010 Bata mreeeeeeeefu wakishirikiana kwa karibu zaidi na Vodacom bila kuwasahau TBL kupitia kinywaji cha Kilimanjaro. Tumesha walisha mbeya sasa tukutane Samora iringa tarehe 13 jumamosi hii katika kummalizia bata mreeeeeefu 2010.
Shukrani sana ndugu zetu wa mbeya kwa muitikio wenu......

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text