Social Icons

Pages

Friday, September 17, 2010

ANZA NA KURA YAKO....


Simba dume,Ferooz & Machozi...Jamaa wanadondosha show ya nguvu hivi sasa pale uwanja wa samora hapa iringa, ni katika harakati za kuwahamasisha vijana ambao ndo mara yao ya kwanza kushiriki katika upigaji kura mwaka huu kuwa waanze na KURA ili kumpata kiongozi atakae wafaa na si kunung'unikia pembeni.

Kumbukumbu nzuri

"Jamani mnanivunja mbavu lol!" Kiduchu pale kati...

Ferooz,mwalube'eh & Hussen

H.machozi,Ferooz,Kiduchu,A.sele & Mdada

Mwana'dafada sikubahatika kulipata jina lake,Afande sele,Ferooz & Machozi...Tayari kwa kuelekea SAMORA kuuwasha moto.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text