Thursday, June 10, 2010
MMH! HUO UJUMBE KWENYE T-SHIRT NI KWELIIII??!!
Mwana da shost huyu (Cizar) leo ndo kaamua kuja na ujumbe huo kifuani,nikamuuliza "kweli mama huo ujumbe huwa unaufuata" akasema "Sanaaaa" mara tukakutana na Mwalubadu,katika kustori akamwomba cizar amsindikize alikokuwa anaenda,wakati wanaondoka ndo vimitego vikaanza.
Karibu ujionee mweee!!!
"Aaah kweli bwana cizar si lazima tu du,twende mama" Mwalubadu
Mara nikasikia "Mamaaa..jamani jamani kwa styl hii ujumbe utatekelezeka kweli? Hapana kwakweli,hapa NI'LAZIMA 2 DUU" Mwalubadu huyo...teh teh teh kaaaazi kweli kweli!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment