hapa utapata mitindo kiduchu,muziki kiduchu,urembo kiduchu nk...lakini kiduchu ya hapa itakutosha.
naona wiki end yangu itakuwa njema kweli kwa taswira hii. ha ha ha ha ha kaazi kwelikweli!!
Dah! Si mchezo...lol
shida yabgu sio wao kuwa 'hivihivi', shida yangu ni namna huyo msusi alivyokaa
Sababu ya matatizo ya maji, hakuna huko, kwa hiyo pale inapolazimu unapunguza kuchafua nguo kwa jasho, si wajua ususi wa kimasai na kibarbaig unachukua muda
naona wiki end yangu itakuwa njema kweli kwa taswira hii. ha ha ha ha ha kaazi kwelikweli!!
ReplyDeleteDah! Si mchezo...lol
ReplyDeleteshida yabgu sio wao kuwa 'hivihivi', shida yangu ni namna huyo msusi alivyokaa
ReplyDeleteSababu ya matatizo ya maji, hakuna huko, kwa hiyo pale inapolazimu unapunguza kuchafua nguo kwa jasho, si wajua ususi wa kimasai na kibarbaig unachukua muda
ReplyDelete