Wednesday, March 17, 2010
HUYU NDO SARAFINA MSHINDO
bi dada huyu kama wamkumbuka alishiriki katika lile shindano la BSS na kufanikiwa kuingia katika 10 bora japo hakufanikiwa kuingia 5 bora. mungu hamtupi mja wake bwana, kwani bi dada baada ya kutoka kwenye BSS alipata bahati ya kuchaguliwa kushiriki kwenye ngoma iitwayo "Ooh! Afrika"iliyo washirikisha wanamuziki rukuki kama Soweto kwaya toka afrika kusini,akon na ker itakayotumika katika kombe la dunia mwezi wa 6 mwaka huu huko afrika ya kusini...na kwa sasa binti huyu pia ni balozi wa PEPSI.
nkaona sio kesi kushow nae mapendo kama hivi..
bonnie,sara na mwalubadu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment