Social Icons

Pages

Wednesday, March 17, 2010

ETI HII ALAMA ALIYOIONYESHA EDDO INA MAANA GANI?


nimemwuliza maana ya hiyo alama aliyoionyesha maana yake, akasema nikuulize wewe kwanza halafu ndo atanijibu... haya wajameni kama waijua karibu kibarazani.

2 comments:

  1. edoo hana lolote, ye mwenyewe hajui maana yake, kiduchu kama huamini muulize, halafu mwambie atupe email yake,, LMAO miss him big tym

    ReplyDelete
  2. Hiyo ni alama ya AMANI.
    Mara nyingi hutumiwa na ma-Rasta na huelekezwa chini. Hata Culture kwenye cover ya albamu yake ya WOLRD PEACE alitumia picha yenye alama hiyo
    Jikumbushe taswira na muziki wake hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/04/them-i-them-cultureworld-peace.html

    Blessings

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text