Social Icons

Pages

Thursday, June 3, 2010

HUU NI UFYETELE (UDAKU) TU JAMANI....


Mwimbaji Mariah Carey na mumewe Nick Cannon wanatarajia kupata watoto mapacha ni baada ya tetesi kuenea kuwa mwanadafada huyo ni mjamzito alipokuwa akitoka katika clinic huko Los Angeles mei 10 mwaka huu.
Ripoti hiyo imekuja baada ya Mariah Carey kushindwa kucheza filamu YA Tyler perry hata kuwabidi wawakilishi wake kusema kuwa suala la afya ndilo limekuwa likimpa tabu mwimbaji huyo
Lakini sasa habari ndio hivyo tena zimeenea kuwa nyota huyo anayetambulika kwa kazi za Hero anatarajia kuwa na furaha mara mbili kwani yeye na mumewe Nick Cannon wanahitaji kuwa na familia kubwa kwa hiyo kupata watoto wawili kwa mpigo
Mwimbaji huyo alioana na Cannon miaka miwili iliyopita na mwaka jana familia hiyo ilikwenda kwa mbunifu Kenneth Bordewick kuwasaidia kujifunza malezi huko Los Angeles .

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text