Monday, May 31, 2010
LUNCH YA LEO MMMMMH!!..SI MCHEZO.
Mama kijacho leo aliagiza mahindi ya kuchoma,yalivyoletwa kila mtu akatamani na kuanza kumwomba. Akaona isiwe kesi,akaamua kutuagizia mengine tugawane na mambo yakawa pouwa mwendo ukawa ni kutafuna kwa nafasi zetu. Kituko kingine akajitokeza mtu kaja na maji akaanza kugawa kwa kila aliyekuwa anakula hindi,tym hiyo ilikuwa ni mchana kila mtu akajidai eti haendi kula ameshiba...teh teh teh lol! Mahindi tena kipande na maji madogo vinashibisha kweli ama mifuko imetoboka leo wapendwa?
Allen Sean... huku unatafuna,huku kazi inasonga.
Ibrahim Issa, kazi na dawa baba...
Bonnie na maji yake asije paliwa buuure..
Ndo imetoka hiyo mpaka cha 9t...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
teh teh teh...umeonaee? pamoJAH saaana kaka..
ReplyDelete