Social Icons

Pages

Thursday, June 10, 2010

HAPPY BIRTH DAY CASSIM MGANGA...


Cassim pale kati na washkaji..

Cassim na washkaji zake wa tip top..

"Hureeeeeee,wapo waliotamani kukumbukia miaka yao waliyo zaliwa lakini kwa mapenzi yake maulana wamesha tangulia mbele ya haki, kwa hiyo nina kila sababu ya kumshukuru mwenyezi mungu kwakuzidi kunipa pumzi yake bure na kunifanikishia mipango yangu katika maisha..mimi si mwemasaaana labda mpaka niendelee kuivuta pumzi yake hadi leo bali ni kwa mapenzi yake tu." Cassim Mganga

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text