Saturday, May 8, 2010
HAPPY BIRTH DAY MR.LOVENET....
Allen Sean Phillip (MR.LOVENET)
Mr.lovenet na kiduchu
Leo ni siku nzuri na ya kukumbukwa kwa bwana mkubwa huyu ALLEN SEAN PHILLIP, ambaye tarehe ya leo inamkumbusha tahere 8 mwezi wa 5 mwaka....alipo fanikiwa kuiona nuru ya dunia kwa mara ya kwanza.
Anamshukuru mwenyezi mungu kwakumuweka hai hadi leo na anamwomba azidi kumpatia huu upendeleo wa kuvuta pumzi yake buuure mpaka atakapopata wajukuu...hhaah haah haahaa. Mi namwombea maisha marefu yenye amani na baraka tele...AMINA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera kwa siku hii tukufu, na uwe na wakati mzuri. upendo daima
ReplyDelete