Saturday, May 8, 2010
OPEN MIC SESSION
Naam dada kiduchu..
Zavara hapa.
Nakutumia huu ujumbe wa hafla yetu, naomba uweke kwenye blog yako ili uwafahamishe jamaa wa hapa Iringa..
Naishi hapa lakini sina anuani za b-pepe za kutosha za watu wa hapa..
Naomba watumie kina Edo na jamaa wengine pia.
Pamoja sana dada,,,,
Tuko Sayari moja, tunaishi dunia mbali mbali
Maisha chemsha bongo, jaza mwenyewe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment