Wednesday, March 24, 2010
NIMECHANA KALENDA LEO JAMANI....SIFA NA UTUKUFU NI KWAKE BWANA!!
naitwa AGNESS SAMSON ANDERSON,tarehe na mwezi kama wa leo kunako hospl ya LUGALO jeshini DSM, ndo kichanga mie nlizaliwa. namshukuru mungu kwa yote anayonitendea kwenye maisha yangu,yapo mengi mno ambayo nikiyaorodhesha hapa hayatotosha,wazazi wangu wapendwa mama EVE na baba SAMSON kwakunilea katika maadili ya kuishi popote na mtu yoyote,ahsanteni sana na nawapenda kuliko kitu chochote chini ya jua,ndugu jamaa na marafiki zangu ahsanteni sana pia.
nikiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzangu....wafanyakazi wenzangu ni watu ambao siwezi kuwasahau hata siku1, maana hawa ni moja ya watu walio na mchango mkubwa saaaana katika maisha yangu mapya nliyokuja kuyasaka pande hizi za iringa takribani miaka mi3 na miezi kadhaa sasa, ni kwa ushirikiano wao wanaonionyesha kilasiku,kunikosoa pale ninapokosea na kunipongeza pale ninapo fanye vyema. kupitia hawa sijawahi kujuta kuwa iringa na kufanya kazi EBONY FM...yapo mengi ya kuwambia watu hawa ila kupitia kiduchu ngoja niishie hapa...luv u guyz!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera sana Kiduchu.
ReplyDeleteHongera sana Agness kwasiku yako hii muhimu. Uwe na wakati mzuri.
ReplyDeleteahsanteni sana dada zangu!
ReplyDeleteHappy BirthDATE Dear.
ReplyDeleteMay the ALMIGHTY Guide and Protect you in days and years to come
nadhani sijachelewa kukupa salamu za happy birthday ya kuzaliwa kwako. stay focussed katika yale unayoamini ni mema. uchane makalenda kibao huko mbele
ReplyDelete