Monday, March 29, 2010
KARIBU KAKA,SHIKA BOMBA TWENDE!!!
Mimi ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha redio cha 87.8 Ebony fm cha Iringa lakini mimi niko Dar-Mini Studio, naitwa Renatus Kiluvia,ni mmoja wa wafuatiliaji wazuri wa blog yako,naomba msaada wako wa kunitangazia blog yangu mpya http://www.muzikinamaisha.blogspot.com,blog yangu inahusu muziki na maisha katika nyanja tofauti-tofauti,pia itahusika kuzungumzia burudani zingine kama filamu n.k.
Akhsante!!!!!!!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Karibu sana kaka Renatus!!
ReplyDelete