Thursday, March 18, 2010
BURUDANI POPOTE BWANA TENA BUUUURE....
ha ha ha...jamaa anaitwa SHAFII, kaja ofisin na kuanza kusakata rumba bila hata kuambiwa,niliogopa nikataka kukimbia ila mchizi wangu eddo akasema "huyu jamaa hana maneno kiduchu,hiyo ndo furaha yake akikuta watu wamekusanyika huwa anapenda kuwa chekesha kwa style hiyo"...akaanza kama hivi, nikaona si vibaya kama nikamkung'uta picha ili nawe ujionee.
moto umeanza kukolea..lol!
Eeh mama nzawise,nzawise,nzawise...ha ha ha.
baada ya kumaliza kutoa burudani,mzee mzima huyooo akala kona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh! wenzetu mnafaidi kweli, Kazi kwelikweli!!
ReplyDeleteKwani uongo Yasinta? Bongo hakuna stress kabisa.
ReplyDelete