Wednesday, October 6, 2010
SHUKRANI DJ NASR BOBNAS THABIT WA TANGA...
Mimi ni DJ,Presenter na Producer wa Radio Breez Fm ya Tanga..
Nipo katika Fani hii kwa Miaka mi 3 sasa na mimi ndio DJ Mdogo kuliko wote Jijini Tanga.
Nimevutiwa sana na blog yako dada kiduchu c'se unajitahidi sana kutupa habari ambazo zinapaswa jamii tuzipate,mbali na habari za entertainment pia nakushauri uingie sana katika jamii inayotuzunguka.
Sina mengi zaidi yakukuombea kwa mola akuongezee pale palipo pungua dada.
Per more jah sana Kiduchuuuuuuuu.
Safiiiiiiiiiiiiii...Nasr
Sasa si ndo Nasr Bobnas Thabit pale katiiiiiiiii??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment