Wednesday, September 29, 2010
HAYA SASA WACHAKACHUZI HAOOOO....
J-ree,Eddo & Raymond
Sitaki ushahidi wa kilicho wafurahisha hawa majamaa..
Hapo kila mtu na lake..(sagy,Sisy Rau & Sisy Tumaini)
Jambo likikufurahisha pia ruksa meno kuonekana jamani lol! (Marck D & Maleges)
Mmmmh! Very bizyyyyyyyy
Haya sasa kidole cha pili juuuuuuuu...hahh hahh
Eliudy na Ne-mo
Kiduchu ama Manzi wa Tziiii & Mtu mzima baba wawiliiii (Eddo)
Kila siku ya j5 saa 9:00 huwa naingia kwenye segment kwa eddo kupitia kipindi chake cha the splash kutoa Tich za Afrika ya mashariki ndani ya dakika 10, na kabla yakupaa kwa hewa vijiutani kama hivi huwa vinatokea so usiogope...hahh hah hahh
Dj mubba ukimkuta kwenye anga zake kama hivi, huwa si m'bahatishaji....
Mwisho wa siku tunakamilisha kwa kupiga mzigo kama hivi (Eddo ndani ya kipindi chake cha The splash akisababisha, ni kila siku ya jumatatu-ijumaa muda ni saa 8:00 mchana - saa 10:00 jioni)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment