Monday, July 12, 2010
MAPACHA HAOOO, WATARAJIWA KWA CELINE DION...
Celina dion ambaye tayari ana mtoto wakiume mwenye umri wa miaka tisa Rene-Charles aliyezaa na mumewe Rene Angelil hivi karibuni ilireportiwa kuwa celina atapata mapacha NA sasa imefahamika kuwa mapacha hao watakuwa wakiume
Kwamara kadhaa Celina dion amekuwa akiitaji mtoto lakini ujauzito umekuwa ukiaribika hivyo hizi ni habari njema kwake kwa kuwa huenda ikawa ni mara yake ya mwisho kubeba ujauzito kutokana na umri alionao wa miaka 42.
Furaha ya kupata uhakika wa kujifungua watoto mapacha mama huyo ameionesha katika website yake akijipongeza yeye pamoja na familia yake kwa kuwa wavumilivu kwa kusubirikwa muda mrefu hicho kijacho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment