Tuesday, July 13, 2010
HAYA TENA LINEX KUKOBOA MAFINGA J-MOSI HII........
"Aaaah bwana kwanini nini? tushow mapendo tu kama vipi" Linex na Kiduchu.
Jamaa atadondosha show ya nguvu jumamosi ya tarehe 17-7-2010 kwa kushirikiana na mtu mzima O-ten,Ne-mo na Hama q ndani ya Ebony club shimoni pande za mafinga,show imepewa jina la "USIKU WA AKIPENDACHO BINTI & TOA HELA" kama vipi waweza jisogeza pale.
Hatya,Mama kijacho,Linex na Moris
Hatya mama jiweka humo tu kama vipi...hahhha hhhha hhahah
"weeee,sidanganyiki linex nakwambia"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment